MAHOJIANO NA WAZIRI WA JINSIA KAUNTI YA KILIFI DKT RUTH DAMA MASHA KUHUSU UTENDAKAZI WA KAUNTI YA KILIFI

Je,baada ya miaka 3, wakaazi wa Kilifi wamefaidika vipi na uongozi wa Gavana Gideon Mung’aro?
Waziri wa Jinsia kaunti ya Kilifi Dkt Ruth Dama Masha yuko studioni na Sylvester Chibero na Joshua Chome .