Shughuli ya kuwapiga msasa waliotuma maombi ya kuwa mwenyekiti wa IEBC yaingia siku ya Pili

Shughuli ya kuwapiga msasa waliotuma maombi ya kuongoza tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini imeingia siku ya pili leo huku wagombea wanne wakifika mbele ya jopo linalo endesha zoezi hilo la mchujo.