Ulimwengu Wa Wana Muziki
Ulimwengu Wa Wana Muziki ni Kipindi kinachoangazia Masuala yanayofungana na Ukuzi wa talanta za wasanii wanaochipuka kutoka maeneo yote ya Taifa, Lakini Pia kinatupia Jicho katika kuinua kazi zao. Kipindi hiki kinaletwa kwako kila siku ya Jumapili naye Salim Manga.