Usajili wa biashara ndogo na za kadri kutekelezwa na wizara ya vyama vya Ushirika
Wizara ya vyama vya ushirika na biashara ndogo ndogo na za kadri inatarajiwa kuanza zoezi la kusajili biashara hizi kote nchini.
Waziri wa vyama vya ushirika na biashara ndogo Daktari Wycliffe Oparanya amesema hatua hii inalenga kubaini idadi kamili ya wafanyibiashara na kuwawezesha kunufaika na fedha stahiki kutoka kwa serikali.
Mwanahabari wetu Millicent Kubai alifanya mahojiano na waziri Oparanya…..
